Skip to main content

Utangulizi kwa 1 Wathesalonike

Introduction to 1 ThessaloniansUtangulizi kwa 1 Wathesalonike

The WriterMwandishi

We see from 1 Thessalonians 1:1 and 2:18 that the writer was Paul the Apostle. This epistle was probably written in A.D. 51 from Corinth during Paul's year and half ministry there. We also see from the first verse that Silvanus (Silas) and Timotheus (Timothy) were with Paul when he wrote it. This coincides with the book of Acts because we see that Silas was with Paul on this missionary Journey (Acts 15:22, 40; 16:19, 25, 27; 17:4, 10) as well as was Timothy for a portion of it (Acts 17:14-15; 18:4).Tunaona kutoka I Wathesalonike 1:1 na 2:18 kwamba mwandishi alikuwa Paulo Mtume. Hii barua yamkini iliandikwa mnamo A.D. 51 kutoka Korinto kipindi cha mwaka moja na nusu wa Paulo kuhudumia pale.Tunaona pia kutoka msitari wa kwanza kwamba Silivano(Sila) na (Timotheo) walikuwa pamoja na Paulo wakati wakuandika hii barua . Hii inafanana na kitabu cha Matendo kwa sababu tunaona kwamba Sila alikuwa pamoja na Paulo katika safari ya kimishenari (Matendo 15:22, 40; 16:19, 25, 27; 17:4, 10) kama kawaida Timotheo alikuwa sehemu yake (Matendo 17:14-15; 18:4).

1 Thessalonians is one of the first epistles Paul wrote. Not much was been uncovered archaeology at the location of Thessalonica because of the modern city that sits on top of it. In 1962, an old bus station was demolished and when the area was excavated a 1st or 2nd century A.D. forum was uncovered. Among other things, an inscription (30 B.C. to A.D. 143) was found on the Vardar gate bearing the word "politarches," the word Luke used in reference to the officials of the city before whom Jason was brought by the mob (Acts 17:6). I Wathesalonike ni moja ya nyaraka alizoandika Paulo. Sio mambo yote yaligunduliwa kikiolojia katika eneo la Wathesalonike kwasababu ya mji wa kisasa ambao ulikwa kilele chake.Mnamo 1962, kituo kidogo cha bas kilibolewa na wakati eneo lilikuwa limechimbwa 1st au 2karine ya pili A.D. baraza lilikuwa limewekwa wazi. Miongoni mwa vitu vingine, ni maneno yaliyo andikwa kwenye mnara wa ukumbusho (30 B.C. hadi A.D. 143) ilipatikana kwenye lango la Vardar kutengeneza neno "wana siasa," neno Luka lilitumika katika kurejea maofisaa wa jiji mbele yake yule ambaye Jasoni aliletawa na kundi la watu wenye ghasia (Matendo 17:6).

Paul visited Thessalonica for three weeks after he left Philippi. He preached in the synagogue and reasoned out of the Scriptures that Jesus was the Christ. There was mixed success at Thessalonica for Paul but the opposition eventually made it wise to leave. Paul visited Berea, Athens and then Corinth at which he writes this epistle.Paulo alitembelea Thessalonike kwa wiki tatu baada ya kuondoka Filipi. Alihubiri katika sinagogi na kufunua maandiko ya husuyo kwamba Yesu alikuwa ni Kristo. Kulikuwa na mafanikio mchanganyiko kule Thessalonika kwa ajili ya Paulo lakini upinzani baadaye ulileta hekima ya kuondoka. Paulo alitembelea Berea, Athene na kisha Korinto pale alipo andika hii barua.

The Purpose of WritingKusudi la kuandika

Paul wrote to Thessalonica to exhort, remind, and encourage them.Paulo aliwaandikia Wathessalonike kuwahamasisha,kuwakumbusha, na kuwafariji.

  • Exhort—2:3; 4:1; 5:14kuwasihi—2:3; 4:1; 5:14
  • Remind—1:3; 2:9Kuwakumbusha—1:3; 2:9
  • Encourage—1:2; 3:7; 4:9, 18; 5:2, 11, 27Kufariji—1:2; 3:7; 4:9, 18; 5:2, 11, 27

The ThemeDhamira

The theme of 1 Thessalonians is second coming of Christ (1:3, 10; 2:19; 3:13; 4:13-18; 5:1-11, 23).Dhamira ya I Wathessalonike ni kuja kwa Kristo mara ya pili (1:3, 10; 2:19; 3:13; 4:13-18; 5:1-11, 23).

The OutlineDondoo

There are five chapters in the first epistle to the Thessalonians that are divided into two sections:Kuna sura tano katika barua ya kwanza kwa Wathesalonike ambazo zimegawanyika katika sehemu mbili :

Personal Relations to the Thessalonians (chapters 1-3)Mahusiano binafsi kwa Wathesalonike (sura ya 1-3)

Practical Instructions in Doctrine and Life (chapters 4-5)Maelekezo ya kivitendo katika mafundisho na maisha (sura 4-5)