Skip to main content

Mahusiano binafisi kwa Wathesalonike

Personal Relations to the Thessalonians (1:1-3:13)Mahusiano binafisi kwa Wathesalonike (1:1-3:13)

Grace and Peace from God to them (1:1)Neema na amani toka kwa Mungu ziwe kwao (1:1)

Grace be unto you, and peace, from God our Father, and the Lord Jesus ChristNeema iwe nanyi, na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu,na Bwana Yesu Kristo

Paul was writing by Divine inspiration. He received more wisdom and revelation because he was obedient to God to give what he had already received.Paulo alikuwa akiandika kwa uvuvio wa Mungu. Alipokea hekima zaidi na ufunuo kwa sababu alikuwa mtiifu kwa Mungu kutoa kile ambacho tayari alikipokea.

We see from Acts 17:1-3 that when Paul first visited Thessalonica that he "reasoned with them out of the scriptures, opening and alleging" that Jesus was the Christ.Tunaona kutoka Mndo 17:1-3 kwamba wakati Paulo alipotembelea Thesalonike mara kwanza alihojiana nao kutoka kwenye maandiko, kufungua na kudai kwamba Yesu alikuwa ni Kristo.

Paul pioneered this church through much opposition and persecution and now he could write to them.Paulo alianzisha hili kanisa kwa njia ya upinzani mwingi na mateso na sasa akalazimika kuwaandikia.

Thanksgiving for them (1:2-10)Shukurani kwa ajili yao (1:2-10)

Paul was thankful because of their Christian virtuesPaulo alikuwa na shukurani kwa sababu ya maadili yao ya kikristo

They had a work of faith (1:3). Faith is demonstrated by judging, preaching and living the (Gospel) truth itself and by assurance, belief, and fidelity shown in their everyday lives. To have a work of faith we need to Judge righteously with the Scripture, preach that Jesus Christ is Lord and Savior, and live Holy according to the Scripture.Walikuwa kazi ya imani (1:3). Imani ilionyeswa kwa kuhukumiwa,kuhubiri na kuiishia (Injili) kweli yenyewe na kwa matumaini, imani, na uaminifu vilionyeshwa katika maisha yao ya kila siku. Kuwa na kazi ya imani tunahitaji kuhukumu kwa haki na kwa maandiko,hubiri kwamba Yesu kristo ni Bwana na Mwokozi,ishi kitakatifu kulingana na maandiko.

They had a labor of love (1:3). Love is manifested from God to them, and then to others.Walikuwa na kazi ya upendo (1:3). Upendo ulidhihirishwa kwao toka Mungu, na kisha kwa wengine.

They had patience of hope (1:3). Hope is proved by remaining anchored in God the Father and in Lord Jesus Christ through every storm.Walikuwa na uvumilivu wa matumaini (1:3). Tumaini liliandaliwa kwa kubakia ukijitenga na ulimwengu katika Mungu Baba na katika Bwana Kristo kwa kupitia kila dhoruba.

Paul was thankful because of their divine election (1:4-7)Paulo alikuwa na shukurani kwa sababu ya uchanguzi wao wa kiungu (1:4-7)

The assurance of their election (1:4,5)Tumaini la uchaguzi wao (1:4,5)

The proof of assurance (1:5)Ushahidi wa tumaini (1:5)

The proof of assurance is the power of the Holy Ghost.Ushahidi wa tumaini ni nguvu za Roho Mtakatifu.

The reason of assurance (1:6)Sababu ya tumaini (1:6)

This was because they received the Word (1:6; 2:13) and they received the Holy Ghost (1:6).Hii ilikuwa kwa sababu walipokea Neno (1:6; 2:13) na walimpokea Roho Mtakatifu (1:6).

The results of the assurance 1:7-9matokeo ya tumaini 1:7-9

Because of this assurance, they became examples (1:7) and they turned from idols to serve the living and the true God (1:9).Kwasababu ya tumaini hili,walipata kuwa mifano (1:7) na waligeuka toka sanamu kwenda kumtumikia aliye hai na Mungu wa kweli (1:9).

The revelation of Jesus (1:10)Ufunuo wa Yesu (1:10)

We must wait for Him to reveal Himself. We must have a revelation that Jesus is the Father's Son from Heaven, we must have a revelation of His resurrection, and we must have a revelation that He is our Deliverer from the wrath to come.Nilazima tumsubiri yeye mwenyewe ajifunue. Lazima tuwe na ufunuo kwamba Yesu ni mwana wa Baba atokaye mbinguni, lazima tuwe na ufunuo wa ufufuo wake, na lazima tuwe na ufunuo kwamba yeye ni mkombozi wetu kutoka ghadhabu ijayo.

Paul's ministry among them (2:1-20)Huduma ya Paulo miongoni mwao (2:1-20)

The circumstances of the ministry (2:1, 2)Hali za huduma (2:1, 2)

The manner of the ministry (2:3-12)Kiwango cha huduma (2:3-12)

Here we have a detailed description of Paul's ministry among the Thessalonians. It was "not of deceit, nor of uncleanness, nor in guile" (2:3). He spoke the Gospel, believing that God would try their hearts (2:4). God is a witness that he neither used flattering words nor wore a cloak of covetousness (2:5). He was not boastful and did not seek glory (2:6). As an apostle, he could have used his authority to burden them, but he did not (2:6-12).Hapa tuna maandishi ya habari za huduma ya Paulo miongoni mwa wathesalonike. Ilikuwa" sio ulaghai, wala unajisi, wala sio katika hila (2:3). Yeye aliitangaza Injli, kuamini kwamba Mungu angejaribu mioyo yao (2:4). Mungu ni shahidi kwamba hata hakutumia maneno ya kujipendekeza wala hakuvaa kifuniko cha tamaa (2:5). Yeye hakujisifu wala kutafuta utukufu (2:6). Kama mtume, angetumia mamlaka yake kuwalemea,lakini hakufanya hivyo (2:6-12).

The memory of the ministry (2:13-17)Kumbukumbu ya huduma (2:13-17)

The workers conduct (2:13)Watenda kazi wanaongoza (2:13)

The converts received the word of God (2:13-17)Waongofu walipokea neno la Mungu (2:13-17)

The workers' relationship to the convertsUhusiano wa watenda kazi na waongofu

As a nurse (2:7)Kama mlezi (2:7)

As a father (2:11)Kama Baba (2:11)

As the Apostle of Christ (2:6)Kama mtume wa Kristo (2:6)

The converts following and fellowship in suffering (2:14)Ufuasi wa waongofu na ushirika kwenye mateso (2:14)

The persecutors (2:14-16)Watesaji (2:14-16)

The relation since the separation (2:17-20)Uhusiano tangu mafarakano (2:17-20)

Timothy sent to minister to them (3:1-13)Timotheo alitumwa kuwahudumia (3:1-13)

Paul was planning to send Timothy to them to establish and comfort them concerning their faith (3:2). They would need to be established because there would be many afflictions (3:3), tribulations (3:4), and temptations (3:5) that would come upon them.Paulo alikuwa anapanga kumtuma Timotheo kwao ili kuwaimarisha na kuwafariji kuhusu imani yao (3:2). Wangehitaji kuimarishwa kwasababu kulikuwa na mateso mengi (3:3), dhiki (3:4), na majaribu (3:5) ambayo yange wajia.

Paul's motive (3:5)nia ya Paulo (3:5)

To win souls for Christ for eternity, not just for a while Lest his labor be in vainKushinda nafsi kwa ajili ya Kristo kwa muda mrefu,ili kazi yake isijekuwa bure

Timothy's report (3:6)Taarifa ya Timotheo (3:6)

Paul's reaction to the reportjibu la Paulo kwenye hiyo taarifa

It brought comfort (3:7)Lilileta faraja (3:7)

It evoked thanksgiving (3:9)Liliamsha shukurani (3:9)

It increased prayer (3:10)Liliongoza maombi (3:10)

The contents of prayerMambo yaliyomo katika maombi

Thanks (3:9)shukuruni (3:9)
That God would make a way to see them (3:10, 11)Kwamba Mungu angefanya njia ilikuwaona (3:10, 11)
Perfect that which is lacking in their faith (3:10)Ukamilifu ambao ulikuwa umepungua katika imani yao (3:10)
That they may grow in love (3:12)Kwamba waweze kukua katika upendo (3:12)
Their hearts would be established (3:13)Mioyo yao ingeweza kuthibitishwa (3:13)
Unblameable in holiness (3:13)Pasipo lawama katika utakatifu (3:13)