Skip to main content

Waraka wa Yuda

Yuda 1,2- Yuda mtumwa wa yesu kristo, ndugu yake Yakobo, kwa hao walioitwa, waliopendwa katika mungu baba, na kuhifadhiwa kwa ajili ya yesu kristo. 2 Mwangezewe rehema na amani na apendano.

Kuna kuwapo mungu…. Kuna kuwapo mungu majawa

Kunakuwapo mungu mwanye kupenda, kuhifadhi na kuita V1

Kunakuwapo mungu mwenye rehema, amani na upendani V2

Kunakuwapo mungu mwenye utukufu, ukuu, uwezo na nguvu V25

Kunakuwapo mungu mwenye neema, imani na hukumu V.V 3-5

Kunakuwapo watumwa halasi wa mungu V.1

Kunakuwapo watumwa halisi wa mungu baba, V.1

waliopendwa katika mungu baba, V.1

Kunakuwapo watumwa halisi wa yesu kristo mwana, V.1

waliohifadhiwa na kiitwa, V.1

Kunakuwapo watumwa halisi wa roho mtakatifu, V.20

wahojazwa na imani takatifu sana, upendano, rehema, huruma, oga na utakaso VV.3, 20-24

Yuda 3- wapenzi nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia habari ya wokovu ambao ni wetu sisi wote, naliona imemlazimi kuwandadika, ili niwaonye kwamba mwishindiane imani waliyo kabidhiwa watakatifu mara majatu. 20 Bali ninyi, wapenzi, mkijijenga juu ya ya imara yenu iliyo takatifu sana, nakuomba katika roho mtakatifu. 21 Jilindeni katika upendo wa mungu, huku mkingojea rehema ya bwana wetu yesu kristo, hata mpate uzima wa milele.

Kunakuwapo adui na mpizani wake ni Ibidi si Adui amefanya nini? Ameshambulia. IMetupusa kuyafahamu hila ya adui makuridi kuwa makingo ya nguvu na shambulio ufahamu wa hila ya adui ni ya muhimu, lakini kabla ya hiyo imetupasa kuwa na hakikisho ya msimamo letu katika kristo.

Yuda 1 :1- Yuda, mtumwa wa yesu kristo, kaza msimamo wako kama mkristo : mwanafunzi wa christo Kaza msimamo wako kama kyongozi : fuata nyayo zake.
1 Petro 2 :21- Kwa sababu ndio mlisitiwa ; maana kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachia kielekezo, mfuate nyayo zate.
Warumi 4 :12- Tena awe baba ya kutahiriwa, kwa wale ambao si waliotamhiriwa tu, bali pia wamazifuasa nyayo za imani yake baba yetu Ibrahimu aliyo kuwa nayo kabla hajatahiriwa.

Imetupasa kuwa na msimamo ya kweli katika kristo kabla tushindane na adui. Kama kumekuwa mahali maishani mwetu ili ibilisi apate nafasi ya kutupata, atajaribu! Sabaa kuu katika kipindi hiki kuhusu yuda ni kutolea mshida ya kutia kichinwonmi waraka kwa kuleta atale nzuri zaidi ya hiyo.

Yuda haitolewe kwa kamisa ya yote fulani au mtu peke yake kulani ; basi imeitwa waraka wa ujimla, na imeandika kwa wakusto wote wa mahali pote.

Yuda aliongozwa na mungu tangu mwanzo ni ameanza herufi yake kwa jinsi ya kuheshimu mapokeo kwa wakati huu ; ambao imetolea kyongozi mahali pa kushika yenye kufanana na mkono wa uponya. Yuda handike kuhusu « wokovu wa wote ». habadili shabaa yake; amekazatu lengo ya na ameanza kutozamia mahali pasipo kuwa no msimamo kwa ajili ya wakristo kwa ujumba. Tuna mpizani aliye kuwa na hila lakini mwenye ukali sawa Amekuwa katika kutafuat, kuwa na kuharibu » Kazi ; kazi ambao imetegemea kuvunja moyoni kuanganya na kupepeta kila mwana wa mungu (yohana 10 :10 ; I petro 5 :8) Adui huyu mwenye kujificha amejua ya kuwa wakati wa kupepeta ni wakati wau toto rohoni, na ushindi kuu itakuwa katika mahali pa mafundusho na mazoezi. Yuda ameyafahamu hiyo na amesema, kiisha kweli kutazama kuhusu wokovu kwa ujumla, ilikuwa ya lazima kwake kutazamia kwa mahali hapo ambayo adui ameshambulia. Basi yuda ameyashimika kama moja ya mambo kuu ya ujumba ya imani wakati kumukuwapo mazoezi ya majeshi na matoleo kwao ya silaha kwa ajili ya kushinda adui. Waraka wake imetukabidhi fikira na mila kwa ajili ya kujikinga kwa nguvu kwa hila ya Ibilisi.

Paulo ametoa mafasirio ya mpinzani wetu na ngao ya mwanajishi kwa ajili ya kupampana naye katika waefeso 6 :10-18. Yuda ametoa mafasirio ya akili ya mwanajishi andhila kwa ajili ya kupombana na adui.

Yuda 4- kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri wabadilio neema ya mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake mola, na buana wetu yesu kristo.

Imetupasa kupigana kwa ajili ya hiye iliyo kweli, bara, na yenye kubarikiwa kwa sababu tuna mpinzani ambae amedanganya wenyi kwa uerevu. Ni kwa faida ya wengine himetaji kuunda.. na msimamo kwa matendo yake. Hila yake ni kutumkisha "mtu fulani", watu tofauti, au watu ambaye wamefanana tu na mtu ye yote mwengine, ili kutimiza ujanja wake. Wameingizana sawa vile ilikuwa kwa njia ya mengo ya ubavu bila mbulika, bila kelele, au kwa ukimwa. Hawa watu walikuwa walisha chambuliwa mbele kwa ajili ya kazi ya kuinua. Wameanza na kutafsiri neema yathamani, reheema subira ya mungu kama kibali ya kuwa mwengye uchoyo na kutenda dhombi. Wamenena matamko sawa: " Kila siku tumetnda dhambi ndogo sisi sote". Kiisha, wameshuka kwa: "Ni sawa ya kuwa tumetenda dhombi kila siku", na kiisha kwa: "Mungu ametutazamia tutnde dhambi kila siku", hadi wamegamia kwa kukana kwa leo kwa baba na mwana. "Ni mpinga kristo, ambae amekana baba na mwana", I Yohana 2:22.

Yuda 5,7- Tena napenda kuwakumbusha, ijapokuwa mmekwisha kujua haya yote, ya kwamba bwana, akiisha kuwookoa watu katika nchi ya misri, aliwaangamiza baadaye wale wasioamini 6. Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu.
  • Tena napenda kuwakumbusha
  • Ijapokuwa mmekwisha kujua haya yote; "Kumbuka", amesema; au "napenda kuwakumbusha ijapokuwa mmekwisha kujua hayo yote."
  • Jinsi bwanan akiisha kuwaokoa watu katika nchi ya misri
  • Baadaye aliwaangamiza wale wasioamini
  • Malaika- wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu.

Yuda ametoa hadihi ndogo ya kumkana mungu na mifano ya hukumu ya mungu! Mungu aliwaokoa 2) Mungu aliwahukumu.Wengine hawailinde msimamo wa usalama (au wokovu) kwanza ni wale ambaye mungu aliwaokoa myaka ipitayo, sawa Israeli toka misri. Wokovu wa kwanza siyo arabuni ya hiyo ya mwisho, usalama ya mwisho. Jibu ni kwa raisi ni kuendelea kumbtii na kumwaminia mungu, baba na mwana wake, yesu kristo jilindeni kwa kutomboka. Kiisha, kuna wamalaika. Hakuna mtu mwenyen ustahivu amedhani kuwa sawa malaika lakini hata kama alikuwa, hiyo hali siyo arabuni kwa ajili ya usalama. Shururisho hapa ni kukesha, ambiyo imeambatana kila muda na sal wakati imemwelekea mwaminio.

  • Hatutaweza kuichuikua maisha kwa wepesi
  • Mwishindaneie imani waliyo kabidhiwa watakatifu nina moja tu.
  • Mubaki wenye kuamini, muwe katika pendo lake.

Hawa malaika walikuwa hawakeshe, hawakufurahi na kukaa mahali pao pa usalama. Hivi womechukuliwa mateka kwa mtare wa kifo. Hukumu yao, kwa namna yote haita kuwa ya muda wa wakati- Itakuwa ya milele. Hauwezi kujifanya rafiki na ibilisi kwa yote bila kuteswa kwa ajili ya hiyo, Ibilisi ni sikuzote mpinzoni.

Yuda 7- Kama vile sodoma na Gomora, na miji iliyokuwa kandokando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele. Kuna wale ambae wametegwa na kutafuta anasa na ufisadi;sawa Sodoma na Gomora, ambao haikupendi kufuata na kutii sheria ya mwenendo ya Mungu, hiyo ambayo aliandika juu ya dhami: Ya kila mtu, ambae ataadhibiwa pia kizimuni.

Wamekataa kuyaacha matendo yao mbovu, ya kujifurahisa wenyewe na kukimbilia kwenye mahali yenye ukingo. Kuyajua na kuyatii neno la mungu.

Yuda 8- Kadahalika na hawa, katika kuçota kwao, huutia mwili uchafu, hukataa kutowaliwa, na kuyatukana matukufu.

Hisi pia ni mfano wakunfuzi wadanganyifu wa siku yke na yetu. Wao pia watahukumiwa kwa ajili ya mawazo yao mbovu. Yuda amesema ya kuwa wamechafua yote mbili mafikiri na mwenendo na mawazo yao ovu. Wametupa undo yo yote ya serkali; wameingiza na neno yenye mamlaka ya mungu. Tena wamejaribu kuharibu msimamo na ushawishi wa wale ambae wamepakwa mafuat na kushimikwa katika mahali pa mamlaka. (Waefeso 4:11, 12; Waebrania 13:17)

Yuda 9,10- Lakini mikaili, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuhutubu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemu. 10. Lakini watu hawa huyatukana mambo wasioyajua, na mambo wayatambuayo kwa asili wajiharibu kwayo kama wanyama wasio na akili.

Yuda ametuonya kuhusu kulaumu wale ambae kati yao mungu ametia uwezo, mamlaka, na wenye kupakwa mafuta. Ametumia mfano ya wakati "Mikaeli malaika mkuu", (Malaika mkuu na ameongaliwa kuwa malaika wa vita) hakulaumu juu ya shetani, alionyesha ya kuwa mikali hapo alitumia mamlaka ya bwana na alimukemea. Tumehitaji kuelewa ya kuwa hakuna uwezo ya kumpiga au kupambana na adui kati yetu au peke yetu. Yo yote ambaye tunayo imepatikana katika uwezo na mamlaka yake- "Danii ya yesu ni kinyume yako, shetani; na nimekukemea kwa jina la yesu".

Yuda 11- Ole wao! Kwa sababu walikwenda katika njia ya kaini, na kulifuata kosa la balaamu pasipo kujizwa, kwa ajili ya ujira, nao wameangamia katika maasi ya kora.

"Ole wao" Yuda amesema. Amesema huzuni imekuja kwao kwa sababu: (Linganisha na I yohana 2:15-17):

  • Walienenda kutokana na mpango na tamaa yao wenyewe sawa kaini
  • Huzuni ya kwanza ya kaini, chukiyake, na tendo lake la mwisho la uchoyo(uaji). Toka kwa imedhaniwa kuwa mpango wake mwenyewe na tendo la kuabudu mungu wa namna yake mwenyewe. Fikira kama hii ilichukuliwa katika shairi wa kurudiwa ya wimbo moja fulani, ambayo imetangaza, ambao ni namna binafsi, itapeleka kwenye uharibifu.
  • Walifikiri toka mambo na usawa uliyo wa mtu (na walitafuta mapato binafsi na utukufu), sawa balaamu (hesabu 22-24), ambae hakutaki tu, lakini tena alimtafuta mungu na sawa alikwenda kulaani wana wa mungu tu kwa sababu ya hiyo alitambua toka hiyo ambayo aliona na kusikia. Ujumbe wa balaki ilisema, "Tazama, kunakuwa watu ambae wametoka Misri: Tazama, wametanda uso wa dunia, na wameishi kinyume changu: Basi uje sasa, nimekusihi, laani watu hawa kwa ajili yangu; kwani wamekuwa na nguvu zaidi kwangu", (Hesabu 22:56)
  • walikuwa tena wenye kujitamisha na wenye magomvi, sawa kora (karah, hesabu 16). Wamekataa kukubali thamani, mamlaka, au msimamo ya wengine. Majivuno, fikira na chuki yalikuwa mpinzani wao. Yuda 12,13- Watu hawa ni mamba yenye hatari katika kanamu zenu za upendo walapo karamu pamoja nanyi; wakikjilisha pasipo hofu: ni maweingu yasiyo na maji, yachukuliwayo na upepo; ni miti iliyopukutika, isiyo na matunda, iliyokufa mara mbili, na kungolewa kabisa 13. ni mawimbi ya bahari yasiyozuilika, yakitoa aibu yao wenyewe kama povu, ni nyota zipoteazo, ambao wensi wa giza ndio akiba yao waliowekewa milele.
  • Yuda 12,13—Hizi ni matangazo katika mikutano yenu ya upendo, wakati karamu pamoja nanyi, kulisha wenyewe bila hofu mawingu ni bila maji, pili kuhusu ya upepo, miti ambao matunda yakauka, bila matunda, iliyokufa mara mbili, na kung'olewa up na mizizi; 13 mkali mawimbi ya bahari, na matendo yao ya aibu mwenyewe; nyota Mabedui, ambaye ni akiba weusi wa giza milele.

    Tamko miamba hailinganishwe na uchafu au ila. Hiyo tamko imeonyesha jiwe yenye kuchomoka kwa mwamba katika bahari: katika matamko nyingine, hawa watu ni sawa hiyo miamba yenye kusitinka ambayo imezamisha merikebu iyapokuwa yamekuwa kandokando ya pua (nyumba, bandiri, usalama) na bila kutafakai mambo ya kuwa umejitolea kama dhabihu kwa watu wengine" konamu ya upendo". Ni wenye kuleta hatari kanisani kama mwamba yenye kusitirika katika bahari.

    Picha ya tamko ya pili ya yuda imeelekea kwao kama ni wenye kufanana au kuonekanan kuwa kitu ambae haweko. Imeelekea tena kwa asili yao yenye kugeuka-geuka na yasiyo tegemewa ambayo ni sawa mawingu, ambaye yamepeperushwa na upepo.

    Picha ya tamko mamba tatu imewafananisha na miti ambayo ilipukutika. Majini ilinyauka na kupeperuka, matunda imekuwako tu juu ya matawi lakini ilinyauka na mti yenyewe imekufa kwa sababu iliangolewa" Mafundisho mengi iliweza kupatikana kwa hii picha ya tamko lakini pata hii machache:

    • Haiko nzuri kwa uvuli ukingo kwa joto ya maisha
    • Hayana mafaa kama kyonyesha kwa sababu yaliong"olewa.
    • Hayawezi kutegemewa kama kwenye kutoka msaada.

    Kiish, amewafananisha na povu, hata mawimbi ya bahari yasiyoziulika" wakufunzi wa uongo wameweza kuwa wahatari kwa ambaye wamechukuliwa na kelele, lakini, kwa mtu ambae amesimama salama puani (mwamba) "nguvu ya yenye uongo ni yenye majivuno tu". Ni kelele wamepiga ambayo imedanganya na mwisho imewatumbukiza katika udanganyifu.

    Mwisho yake, yuda amewaonyesha kama "nyota" au viumbe vya asili ambavyo vimejipoteza katika mbingu. Kwa muda huu hiyo tamko maana yake mkufunzi mwenye kuwa katika kosa.

    Mashaira kumi na nne hadi kumi na nane ya meendelea na mafasiri baina ya yuda kuhusu walimu wa uongo na hukumu wa Mungu juu yao na juu ya wale ambae wamedanganywa nao.

    Mwisho yake,yuda amemaliza na maneno ya utukufu kwa mungu na shausi yenye hekima kwa wale ambae wamependa kufanya zaidi kuliko "kuyakinga ngome". Kama umetaka kuwa mshirika wa nguvu yasiyo ya kawaida (Hajeshi ya wakati mbaya, ammando) mwenye kyapata, kushinda umehitaji ku:

    1. Kuketi na kujitia nguvu mwenyewe katika imani (sawa kutoa mazoezi ya uzito)
    2. Kuomba katika roho mtakatifu
    3. Kuwa mwenyewe katika upendowa mungu (umeweza kuwa mwenye kushika na lakini umekosa upendo)
    4. Kuifahamu rehema ya mungu kwa kazi katika maisha yako na ya wengine
    5. Kuwa na huruma kwa wengine (mengi hawata kuacha uwasaidie)
    6. Kuwa rafiki wa kutosha kwa wengine ili kuwaambia tu jinsi hiko, waziwazi
    7. Kukumbuka kwamba ni yesu tu ameweza kutusaidia tusianguke
    8. Kujua ya kuwa "atakupeleka bila kosa mble ya utukufu wake na furaha kuu mno"
    9. Kumtolea "Mungu tu mwenye hekima, mwokozi wetu… Utukufu na ukuu, nguvu na uwezo, yote mbili sasa na milele".