Skip to main content

Utangulizi

Shabaa ya darasa na mafsirio

Shabaa ya hii kasi ni kutumbua matos aya siku yetu ya leo na siya mafunzo ya ndani ya ibada. IBADA HATA MOJA haistahili zaidi angalisho yako. Ni ya muhimu kuwa nabusara wakali umechunguza ma Ibada kwa sababu pepo mbaya ambayo umeongozwa nao imeweza kutushawishi.

Tumehifaji kukaza ufahamu wa kweli. Biblia ni neno la Mungu, Mamlaka na Maisha ya juu zaidi. II Peho 1:2–4 ; 16–21 ; II Thimotheo 3 :13–17 ; Wafilipi 2 :16

  • Imetupasa KUFUNZA kweli 2 Timotheo 2:15
  • Imetupasa KUJUA kweli Yohano 8:32
  • Imetupasa KUPENDA kweli II Wathesalonike 2:10
  • Imetupasa KUZUIA UOVU II Wathesalonike 2:7

Sungumzia kweli katika mapendo:

  • Waefeso 4:14–15
  • 2 Wakorintho 2:14–15
  • I Wakorintho 2:1–16
  • Wagalatia 4:16
Zaburi 15:2—Huyo ambae ametembea katika kweli na ametenda katika haki na kunena kweli toka moyo wake.

Uwe na hakikisho ya kuyafahamu atilini kitabu cha yuda kadini umejifunza hii kosi.

Usome I Wakorintho 2:1–15

1 Wakorintho 2:12—Lakini sisi hatukuipokea rho ya dunia, bali kolio atotaye kwa Mungu, makusudi tupatte kiayojua tuliyokirimiwa na Mungu.
I Wakorintho 2:14–15—Mtu wa kidunia hapokei mambo ya Roho wa Mungu. Kwake mtu huyo mambo hayo ni upumbavu mtupu; yanapita akili yake; maana yanaweza tu kutambuliwa kwa msaada wa Roho. 15 Lakini mtu aliye na huyo Roho anaweza kubainisha ubora wa kila kitu, naye mwenyewe hahukumiwi na mtu mwingine.

Isipotuwa tu mwaninifu halisi katika yesu kristo ambaye ameendelea katika Neno la Mungu, mwenye kufundishwa na kufunuliwa na roho mtakatifu ameweza kuelewa kweli matusudi aweze kuitambua na kufumbua uongo.

Mafasirio ya Ibada

Ibada ni shirika ya kikristo ambayo imani imebadilishwa kwa uharibifu na kweli imebadilishwa kuwa uongo. (I Wakorintho 2:15; Wagalatia 1:6–7; Wakolosai 2:8)

  • Uharibifu wakikristo
  • Kinyume yenye kupangwa
  • Aminio na matendo yenye kushangaza ambayo shina ni mafundisho danganifu.
  1. Ibada ni dini danganifu. Ni mbimu ya amnio ya kikristo au kiroho, hasa mbinu ya aminie hibiyo ya kawaida na xxxxxxx .Yenye kuangaliea wengine kama wenye kuongozwa vibaya, wasio na hata, wenye kutoka nje, au wadanganyifu, na wenye kuongozwa na kyongo mgumu na . Charismatic.
  2. Onyo kuhusu ma ibada. Ma ibada imetoa mbinu yao ya aminio kwa watu ili kusudi ya uchunguzi badala ya kukomalisha kirohoni na kutoa tunda bora kwa utukufu wa Mungu. Maibada imeabudu vyongozi, mafundisha na mipango Ibada imewoza kutoka kwa nja ya nje na kujaribu kujifanya yenye ahadi ya Mungu kwa nja ya mafikiri ya kimwili. Umeweza kumgusa hata mtu ambaye ana kweli na fikira danganyifu, roho yenye kujifanya kuwa haki yenyewe au utaribisho wenye kukosa hekima. Matendo ya ibada imetawanyiko kama moto ya porini kwa sababu ya uvuguvugu kanisani. Wakati kasi ina nguvu katika bwana na kupombaha katika uwezo wa Mungu, Milango ya Jehanamu haiwezi kutawala.
Mathayo 16:18,19—Nami nakuambia, wewe ndiwo pebao, na jua ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu kaitalishinda. 19. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni, na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni.

Shauri ya Paulu kwa wazee kuhusu matunzo ya kanisa ilikuwa pamoja na hiyo shauri ya kristo kwa Petro.

Matendo 20:28–32— Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, mpate kulilisha kanisa late Mungu.
Yohana 21:15–17— Yesu akamwambia Simoni Petro, Ototowa yohoma, lisha mwana kondoo wangu. 16 Akamwambia tena mara ya pili lisha kondoo zangu. 17 Akamwambia mara ya tatu Lisha kondoo zoudu.

Math. 7:15–23: Yohano 10:10–38; I Tim. 4:1–3; II Tim. 3:1–4:5; II Petro 2:1–22, Yuda 1–2

Maonyo Tazama maisha yako na Neno

Imempasa kila mtu kuyatazama maisha yake na busara kabla ya kujifunza aina lolote ya matendo ya ki ibada. Maonyo ya Mtume Paulo yapashwa kuwa kwa kila mtu myongini mwetu sababu ya kutazam tena na busara kuhuso mafundisho.

II Watorintho 13:5; I Watorintho 11:28, 31–32; I Tim. 4:15–16; II Tim. 2:15; 3:13–15

Jinsi moja tu ya kuepuka ku . chastening na kufupisha marekibisho ya kiroho ni kutubia na kusoa pito yako kwa mara!